KARIBU NA TEMBELEA ZAIDI BLOG HII ILI KUPATA NA KUJUA MABO MENGI ZAIDI KUHUSU MWANZA EAGLES BASKETBALL TEAM NA MENGINEYO MENGI KUHUSU MICHEZO YA NDANI NA NJE YA NCHI YA TANZANIA.

Friday, June 22, 2012

Gilberto Gucciano Mgalacha Mackenzie

Ni mchezaji wa timu ya mwanza eagles,mtu huyu kwa jina hujulikana kama Makenzi ila jina lake halisi ni Gilberto Gucciano Mgalacha Mackenzie.Ni mmoja kati ya wachezaji wa Mwanza Eagles Team, iliyopo kiloleli jijini Mwanza.Mchezaji huyu hucheza namba 1,2 na 3 pale anapokuwa uwanjani.Hapo akionekana katika kiwanja chao cha nyumbani cha Mwanza Eagles.

0 comments:

Post a Comment