Katika mfululizo wa mechi ambazo Mwanza Eagles inatakiwa kucheza weekend hii,tayari imetoa heshima kwa timu moja wapo jana baada ya kuifunga St.Fransis. Mechi hiyo ilikuwa nzuri nayakupendeza kwani timu zote zilijitokeza na kucheza vyema kuanzia mwanzo hadi mwisho. Mashabiki na wapenzi wa mpira wa kikapu walijitokeza kuweza kushuhudia mechi hiyo na baadhi yao walivutiwa na kuupenda mchezo huo jana. Hadi kufika mwisho wa mechi Mwanza Eagles iliibuka na ubingwa wa vikapu 59 kwa 35 dhidi ya wapinzani wao St.Fransis.
Mwanza Eagles leo itacheza na timu kutoka Geita ambayo inaitwa Geita Team. Mechi hiyo itafanyika majira ya jioni. Haya nimatukio baadhi ambayo yaliweza kujitokeza katika mechi ya jana.
Mwanza Eagles Team
St.Fransis Team
Officals
Gerlad (ndiye aliyekuwa akicontrol bench la Mwanza Eagles jana)
BIG MJULA (Kocha wa St.Fransis na ndiye aliyekuwa akicontrol bench la St.Fransis)
Vituko pia huwa havikosi katika Mechi na hii ilikuwa kama hivo kati ya MRUSHI,GERLAD NA FRANK DUDU wote wa Mwanza Eagles
Baadhi yawachezaj wa St.Fransis
0 comments:
Post a Comment