NEMBO MPYA YA KLABU YA MWANZA EAGLES
Klabu ya Mwanza Eagles inatambulisha Nembo (Logo) yao mpya kama ambavyo inavyoonekana hapo. Na hii ni baada ya Fans na wachezaji wa Mwanza Eagles kuomba Nembo hiyo ibadilishwe na uongozi ukakaa na kuona jambo hilo linatakiwa kufanyiwa kazi na hatimaye Nembo hiyo kumamilika na kutangazwa rasmi. Nembo hiyo ndio itakayo kuwa Nembo ya Klabu ya Mwanza Eagles na ndio itakayokuwa ikitumika katika sehemu tofauti tofauti ambapo Klabu hiyo itakuwepo.
0 comments:
Post a Comment