KARIBU NA TEMBELEA ZAIDI BLOG HII ILI KUPATA NA KUJUA MABO MENGI ZAIDI KUHUSU MWANZA EAGLES BASKETBALL TEAM NA MENGINEYO MENGI KUHUSU MICHEZO YA NDANI NA NJE YA NCHI YA TANZANIA.

Friday, December 13, 2013

MAJINA YA WACHEZAJI YA TIMU YA EAST NA WEST

Katika kuelekea mechi ya East na West siku ya kesho,taya majina yamekwisha toka kwaajili ya mpambano huo wa siku ya kesho katika kiwanja cha Mwanza Eagles kilichopo kiloleli jijini mwanza.
List ya majina hayo ni kama ifuatavyo:
Timu yaWest
 1.Salim
2.Gerlad
3.Shaban
4.Henry
5.Willy
6.John
7.Azizi
8.Mohamed

Timu ya East
 1.Ally
2.Big Joh
3.Fransis
4.Chriss
5.Vicent
6.Mrushi
7.Paul
8.Hamidu

Hiyo ndiyo list nzima ya majina ya wachezaji wa timu hizo ambao watapamba vikali siku ya kesho.Mnakaribishwa wote!!

0 comments:

Post a Comment