KARIBU NA TEMBELEA ZAIDI BLOG HII ILI KUPATA NA KUJUA MABO MENGI ZAIDI KUHUSU MWANZA EAGLES BASKETBALL TEAM NA MENGINEYO MENGI KUHUSU MICHEZO YA NDANI NA NJE YA NCHI YA TANZANIA.

Friday, June 22, 2012

Gilberto Gucciano Mgalacha Mackenzie

Ni mchezaji wa timu ya mwanza eagles,mtu huyu kwa jina hujulikana kama Makenzi ila jina lake halisi ni Gilberto Gucciano Mgalacha Mackenzie.Ni mmoja kati ya wachezaji wa Mwanza Eagles Team, iliyopo kiloleli jijini Mwanza.Mchezaji huyu hucheza namba 1,2 na 3 pale anapokuwa uwanjani.Hapo akionekana katika kiwanja chao cha nyumbani cha Mwanza Eagles.

Monday, June 18, 2012

LAURENT a.k.a PAPA

Kwa jina anaitwa Laurent kwa umaridadi wake waweza mwita PAPA.Ni big namba 4 katika timu ya Mwanza Eagles na hapa alikuwa akipiga DUNK katika kiwanja chao cha nyumbani kilichopo kiloleli jijini mwanza.Nice Dunk mr.

MWANZA EAGLES TEAM vs ST.FRANSIC

Hawa ni moja ya wachezaji wa mwanza eagles wakiwa wamejumuika katika call pamoja na wachezaji wenzao wa St.fransic ya nyakahoja jijini mwanza.Mechi hiyo iliweza kuchezwa vizuri na timu ya Mwanza Eagles iliweza kuibuka washindi siku hiyo.

Thursday, June 7, 2012

KARIBUNI KWENYE BLOG YA MWANZA EAGLES BASKETBALL TEAM

Timu ya basketball ya Mwanza ,Mwanza Eagles , sasa inapatikana hapa na waweza pata kujua mambo mbalimbali vya mwanza eagles team kama vile,picha za wachezaji wa timu ya mwanza eagles,video za mechi mbalimbali za timu ya mwanza eagles na timu tofautitofauti za hapa jijini mwanza,nje ya mwanza na hata nje ya nchi pia.
     Utaweza kupata taarifa mbalimbali zihusuzo michezo, habari za hapa nyumbani na nje ya nchi pia. pata kujua mambo yanayoendelea katika timu ya mwanza eagles ndani ya blog hii.