Eagles itakuwa ikicheza na Timu ya St.Fransis iliyo na maskani yao
Nyakahoja Kanisani maeneo ya Nera.Mechi hiyo itachezwa katika uwanja wa
Eagles Kiloleli,Mwanza
#JUMAMOSI
#JUMAMOSI
Eagles itakuwa na mechi dhidi ya timu ya Geita ambayo itasafiri kutoka Geita hadi Mwanza kwa kuweza kufanikisha mechi hiyo. mechi hiyo itachezwa Kiloleli,Mwanza
#JUMAPILI
#JUMAPILI
Eagles itakuwa ikicheza na timu ya Bugando College katika uwanja wa Eagles ,Kiloleli,Mwanza.
MECHI ZOTE ZITAKUWA ZIKICHEZWA MAJIRA YA JIONI.kARIBUNI WOTE KUANGALIA MECHI HIZO MKIWA KAMA WAPENZI NA WASHABIKI WA MPIRA WA KIKAPU
0 comments:
Post a Comment