Timu ya Bugando Collage ndio timu ambayo ilikuwa ikimalizia ratiba nzima ya timu kadhaa kucheza na timu ya Mwanza Eagles kwa weekend iliyoisha.Timu zilizocheza na Mwanza Eagles weekend iliyopita zilikuwa ni St.Fransis yenye maskani yao jijini Mwanza na timu ya Geita yenye maskani yao Geita na timu zote hizo Mwanza Eagles iliweza kuchukuo ubingwa dhidi ya timu zote mbili kwa kuzifunga . Siku ya jana jumapili timu ya Bugando Collage,ilifika mapema na mechi ikaanza vyema na timu hiyo kushindwa kuonesha makali yao. Mechi hiyo hadi inafika mwisho Mwanza Eagles iliibuka na ubingwa dhidi ya Bugando Collage kwa vikapu 73 kwa 69
Kama ilivyokuwa kawaida katika mechi,matukio huwa hayakosi na haya ndiyo yaliyojiri siku ya jana katika mechi
Team Eagles
Bugando Collage Team
Hayo ndio yaliyokuwa matukio ya mechi kati ya timu ya Bugando Collage na timu ya Mwanza eagles jana jumapili katika uwanja wa Kiloleli,Kilimahewa,jijini Mwanza.