Wachezaji wa Mwanza Eagles wakiwa katika picha za aina tofauti tofauti wakiwa katika mavazi yao ya timu kwa muonekano mzuri, maridadi na nadhifu. Ni moja ya picha ambazo wachezaji wa mwanza eagles pamoja na kocha wao (AMIN MUSIRA) waliweza kupiga wakiwa katika kiwanja chao kilichopo Kilimahewa Kiloleli jijini Mwanza. Picha hizi ni moja ya utambulisho wa timu , jezi na wachezaji wa timu kwa ujumla.
Kuanzia kulia ni Chriss,John,Joh,Joakim,Shabani,William,Raulent,Emma,Godfrey,Mrushi,Torry,Fransis na kocha wa timu AMIN MUSIRA
0 comments:
Post a Comment