KARIBU NA TEMBELEA ZAIDI BLOG HII ILI KUPATA NA KUJUA MABO MENGI ZAIDI KUHUSU MWANZA EAGLES BASKETBALL TEAM NA MENGINEYO MENGI KUHUSU MICHEZO YA NDANI NA NJE YA NCHI YA TANZANIA.

Thursday, December 27, 2012

MECHI YA FUNGA NA FUNGUA MWAKA

UWANJA WA MWANZA EAGLES ULIOPO KILIMAHEWA KILOLELI AMBAPO, PATATIMKA KIVUMBI SIKU YA TAREHE 31/12/2012

BAADHI YA WACHEZAJI WA MWANZA EAGLES

Hii ni taarifa na habari nyingine tena kwa washabiki na wachezaji wa mwanza eagles ambapo patakuwa na mechi ya kufunga na kufungua mwaka,ambayo itafanyika tarehe 31/12/2012 siku ya jumatatu.Mechi hiyo inategemewa kuwa kali zaidi kutokana na mechi iliyopita dhidi ya wachezaji wa zamani(ANALOGIA) na wachezaji wasasa(DIGITAL), hivyo basi kila mmoja anashahuku na mechi hiyo huku kila mchezaji akiwa amemkamia mchezaji mwenzake. Mungu bariki mechi hiyo ili iweze kufanyika salama salmini pasipo na watu kuumizana,AMEN.

Kauli mbiu ni:  Eeeaaglleeeeeeeeeeessssssss...................HHOOOOOOOOOOOOOOTTT

3 comments:

  1. UNAUHAKIKA KUWA ANALOGIA WATAKUBALI MZIK?...ANGALIA WASIJE WAKAWAFUNGA TENA BHANA,ALAFU MKASEMA WANATUMIA NDUMBA KUMBE NINYIE WENYEWE HAMFANYI MAZOEZ.UTU UZIMA DAWA

    ReplyDelete