KARIBU NA TEMBELEA ZAIDI BLOG HII ILI KUPATA NA KUJUA MABO MENGI ZAIDI KUHUSU MWANZA EAGLES BASKETBALL TEAM NA MENGINEYO MENGI KUHUSU MICHEZO YA NDANI NA NJE YA NCHI YA TANZANIA.

Saturday, February 1, 2014

BUGANDO YAISHINDA MWANZA EAGLES

Picha ya pamoja kati ya timu ya Mwanza Eagles na Bugando

Katika kuanza mwezi wa 2 mwaka huu ,timu ya Mwanza Eagles ilipata ugeni katika kiwanja chao na  kufanikiwa kucheza mchezo huo wa kikapu dhidi ya wageni wao Bugando. Mechi hiyo ilifika mwisho kwa Bugando kuweza kuongoza kwa vikapu 71 kwa 64. 

0 comments:

Post a Comment