Picha ya pamoja kati ya timu ya Mwanza Eagles na Bugando
Katika kuanza mwezi wa 2 mwaka huu ,timu ya Mwanza Eagles ilipata ugeni katika kiwanja chao na kufanikiwa kucheza mchezo huo wa kikapu dhidi ya wageni wao Bugando. Mechi hiyo ilifika mwisho kwa Bugando kuweza kuongoza kwa vikapu 71 kwa 64.