KARIBU NA TEMBELEA ZAIDI BLOG HII ILI KUPATA NA KUJUA MABO MENGI ZAIDI KUHUSU MWANZA EAGLES BASKETBALL TEAM NA MENGINEYO MENGI KUHUSU MICHEZO YA NDANI NA NJE YA NCHI YA TANZANIA.

Monday, November 11, 2013

SIKUKUU YA KUZALIWA KWA MCHEZAJI WA MWANZA EAGLES,HENRY MANYASI

Timu ya Mwanza Eagles Basketball,imefanya tafrija ndogo ya kumpongeza kijana wao/mchezaji mwenzao kwa kutimiza miaka kadhaa siku ya jana Jumapili katika maeneo ya Kirumba jijini Mwanza.Haya ni moja ya matukio yaliyojili katika hafla hiyo.

 

HENRY MANYASI





















Hivyo  ndivyo ilivyokuwa cku hiyo ya kuzaliwa kwa kijana wao Henry Manyasi ambaye ni mchezaji wa timu ya Mwanza Eagles . Hafla hii ilifanyika siku ya jana jumapili tarehe 10/11/2013